ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 5, 2013

NEW YORK TANZANIA DREAM SOCCER TEAM MAZOEZI YAMEPAMBA MOTO DC WAJIPANGE

Usipime maana kama kuku hafungwi kilemba basi jibu unalo wewe ni machine za New York Team hizo na machine hizi zipo mbioni kupanda ndege kuelekea Houston TX kwenye mashindano ya Thanksgivin next month. Wadhamini wa safari hiyo wameshaanza michakato ya kuwasiliana na Hoston TX na viongozi wanaoandaa sherehe hizo mwaka huu.
Kwa skills hizi kazi ipo team pinzani...Ni kijana mdogo tu chini ya 20 hapo sasa
Nyagaly ajifua kurudisha kiwango, swali ni kwamba kitarudi au ndiyo kweshiney......Lakini mwenyewe anasema kuwa mpira ni sawa ukijua kuendesha Baisikeli hata ukizeeka baisikeli utaweza kuendesha tu.
Hii ndiyo team yenye damu mchanganyiko sasa kwa wale wanaotaka mechi wajipange

1 comment:

Anonymous said...

tahir dj paul mbona hayupo hachezi siku hizi mpira