Boti moja iliyobeba mizingo kuelekea Zanzibar inawaka moto hivi sasa katika bahari ya hindi nje kidogo ya bandari habari kutoka Brekig news ya Radio one leo asbuhi boti hiyo ni ile inayobeba mizig ya wafanyabiashara jeshi la polisi pamoja na vifaa kadhaa vimelekea vkatika tukio ili kuwahi kuzima moto tutawaletea zaidi
No comments:
Post a Comment