ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 10, 2013

KUMBUKUMBU


Katibu wa ccm mkoa wa Singida.
enzi za uhai wake
Leo tarehe 10.10.2013 ni miaka 16 tangu ututoke mama yetu mpendwa. (Mwl. Nyalusi)

Wanao Peter, Ang'e, Eliza na Lilian tunakukumbuka na kukumiss mama yetu mpendwa. Ulikuwa mama mcheshi na mpenda sports. 

Sisi tulikupenda ila mola alikupenda zaidi.
Na tumkumbuke katika sala zetu. Roho yake ilale mahali peponi. 
Ameni

No comments: