ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 27, 2013

DALADALA LAGONGA MAGARI 2, BAJAJI 2 MBEZI JIJINI DAR

Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.
Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.
Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya.

No comments: