ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 27, 2013

SALAMU TOKA BONGO

Rama Marijani katika picha ya pamoja na mlimbwende Flaviana Matata wa New York ambae yupo Dar es Salaam hivi sasa. Rama Marijani alishawahi kuishi Jiji la watunga sheria, Washington, DC nchini Marekani.

No comments: