Dkt. Slaa akiendelea na ziara yake nchini Marekani ijulikanayo kama VISION TANZANIA akiangalia maradi wa umeme unaotumia upepo unaozalisha mega watts 20 alipotembelea chuo kikuu cha Indiana na baadae kuongea na mwanafunzi mtafiti aliyebuni mradi huo.
Dkt. Slaa katika ziara yake nchini Marekani ijulikanayo kama Vision Tanzania akiangalia mradi wa uzalishaji umeme kutumia upepo alipotembelea Indiana kwenye chuo kikuu cha Perdue
Dr. Slaa waadhiri wa Purdue University pamoja na mwanafunzi mtafiti
mwanafunzi mtafiti akimuelezea dr. slaa jinsi micro grid yake inavyofanya kazi
Shamba la Mega Watts 20





No comments:
Post a Comment