ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 13, 2013

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MOROGORO WAKIWA KWENYE LORI LA MIZIGO LILILOSHEHENI CHOKAA

Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa toka kwenye lori la mizigo lililobeba shehena ya chokaa likitokea Tanga na kukamatwa Morogoro jana
Wahamiaji haramu wakiwa kituoni Morogoro baada ya kukamatwa wakisafirishwa na lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa kutoka mkoani Tanga.
Lori la mizigo lililokuwa limepakia shehena ya chokaa toka mkoani Tanga likiwa kituo cha polisi Morogoro baada ya kukamatwa likiwa na wahamiaji haramu.
Mmoja ya wahamiaji haramu akiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro toka kwenye lori la mizigo lililosheni chokaa toka mkoni Tanga.

1 comment:

Anonymous said...

mbona hamuwakamati wanao uza nchi kwa sembe na kupoteza vijana wetu na kubinafsisha mali asili zetu kile pembe ya nchi na kutuacha kuwa walaahoi daima na wao pamoja na watoto wao kuishi maisha ya kifahari na kutembelea majuu kila leo.

mnawaonea hawa tu wanaotafuta maisha yao shame on you na vitambi vyenu vya mbege