Washiriki wa shindano la BBA'The Chase'2013'Feza Kessy wa Bongo na mchumba wake Oneil wa Botswana wameonyesha kuwa kwa sasa uchumba wao umekomaa baada ya kuonekana wakiwa wamepiga picha mbalimbali wakiwa nchini Botswana.
Kupitia mtandao wa instagram Feza alipost picha mbalimbali akiwa nchini Botswana huku akiandika kuwa amepamis Bongo.…
2 comments:
Shemeji amekata ile nanihiii au..!!??? Kweli njaa ni mbaya mnooooo na elimu ni muhimu sana tu...Pole yako Feza!!!
kwanza nampongeza Feza amevaa kiheshima na anawasilisha utanzania halisi.
naona kama kanenepa fulani
tunamtakia kila lililo jema katika mipango yake na maisha yao
umeepeendeza sana
Post a Comment