ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 10, 2013

HABARI NJEMA KWA WANADIASPORA MBALI NA TANZANITE SASA CRDB WAJA NA JIJENGE MORTGAGE FINANCE

 Mubelwa Bandio (kushoto) wa Jamii Production akifanya mahojiano na mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ambaye alielezea kuboresha huduma ya Tanzanite kwamba sasa akaunti ya mteja ikishafikisha kiwango fulani haitakuwa na makato ya kila mwezi na sasa CRDB umeanzisha huduma mpya kwa Diapora inayojulikana kama Jijenge ambayo ni kutoa mikopo ya nyumba yenye lengo la kuiweka Diapora karibu na nyumbani huku akitoa mfano wa kwamba unaweza kuwa na gari lakini si salama siku gari likipata ajali utabaki huna kitu lakini nyumba itakufanya hata unaporudi likizo unakuwa na pakufikia. Huduma nyingine iliyoanzishwa ni Fahari Huduma ambayo ni Argent Banking.
 Kushoto ni Baraka Munisi yeye ni Mortgage Finance Speccialist wa Bank Of Tanzania (BOT), Kenneth Kasigila ambaye ni Executive Assistant CRDB Bank na  Tully Esther Mwambapa ambaye ni Director of Marketing, Research and Customer Service wa CRDB Bank wakifuatilia mahojiano yaliyofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Jumatano Oct 9, 2013
 Mahojiano yakiendelea.
Kushoto ni aAfisa Ubalozi Suleiman Saleh na Alex Ngusaru ambaye ni Director Of Treasury wa CRDB Bank wakifuatilia mahojiano.
 Abou Shatry akichukua kideo cha mahojiano

No comments: