Mkuu wa wilaya ya Springfield bwa Isaac Kibodya akiwa na mama mwenye nyumba wake wakipata ukodac wakiwa New York City kwa Vocation ya siku tatu. Vocation ni muhim baada ya schedule za kazi za kila siku hili kupumzisha mwili kiafya zaidi.
Mkuu wa wilaya ya Springfield Bwana Kibodya akipata ukodak katika mitaa ya Ground zero New York City
Mama Mwenye nyumba wa Mkuu wa wilaya ya Springfield akipata ukodak ndani ya mitaa ya NYC
Mkuu wa wilaya akipata ukodak na Bwana Seif Akida wa New York bwana Seif Akida ni CCM member aliekunywa maji ya bendera na yupo mbioni kuitangaza CCM katika miji hii ya NY, CT, na Nj.
No comments:
Post a Comment