ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 23, 2013

HARAMBEE(FUND RAISING) YA MSIBA WA "BI MARTHA SHANI" NI JUMAMOSI OCTOBER 26 WASHINGTON (DMV)

                                                      Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013)
KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA TISA MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE  (FUNDRAISING)  KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA
3621 CAMPUS DRIVE
COLLEGE PARK,MD,20740

KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana wafiwa. Nimefanya mahesabu yangu ya haraka ni kwamba kwa hiyo gharama kama watanzania 850 popote pale marekani wataenda leo bank na kutoa tu $20.00 mwenzetu ataenda kuzikwa. Na hiyo harambee ingeweza kufanyika tu na kuweza kuwawekea akiba hao watoto wa marehemu endapo watahitaji huko mbeleni. RIP.