ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2013

IYANGA AMBAE NI STAA WA NIGERIA ALITUMIA MUDA WAKE KUSHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WAFUNGWA KITU CHA KUVUTIA KATIKA BIRTHDAY HIYO NI CAKE NIGERIA WAMEIITA CAKE HIYO KAMA MOST SEXIEST CAKE EVER.


Iyanya ambae ni staa wa Nigeria alikuja kwenye Fiesta ya juzi Dar es salaam baada ya kurudi kwao alitumia muda wake kusherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea wafungwa, kufanya show na kuwapelekea misaada kwenye hii siku ya kutimiza miaka 27 ambapo kilicho-make headline zaidi ni keki yake.
Baadhi ya ma-blogger wa Nigeria wameiita hiyo keki kama most sexiest birthday cake ever kwenye party ya star huyu ambapo manager wake Ubi Franklin pamoja na watu wake wa Man Made Music Group ndio walioandaa keki.

No comments: