Mdau wa pili kama hupajui upanga then huna haja ya kujua dar sehemu gani....kama upo majuu na ulipanda ndege then I cn understand dar ulipita njia.. Wacha ushamba wako upanga ni moja ktk maeneo maarufu...wewe utakua wakuja wa hali ya juu yaani hata aibu kuuliza..pumbaffff
This goes to Anonymous wa October 29, 2013 at 11:36 AM
Tatizo la watu walioishi or waliokulia Dar ni kujifanya wanajua kila kitu. hiyo Dar yenyewe hata kwenye kiganja haijai na harufu yake mbaya na watu wake waongo kupita kiasi. haijalishi kama Dar nilipita transit au connection I am sure upeo wangu wangu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wako and most likely maisha yangu ni mazuri kuliko yako unayejiita mtoto wa mjini.
Nimegundua watu wa Dar bado mna kasumba ya kudharau watu wanaotoka mikoani na hii tabia mmeileta hadi huku ughaibuni, ooh yule katoka mikoani. Kwani kila mtu anapenda kukaa Dar kwenye mbanano? Watu wengine tunapenda utulivu wa mikoani. In short watu wa Dar na u-bishoo maandazi wenu mnaboa, kwanza hamna exposure and in short mie binafsi siwa-mind kabisaaa!
Hizo picha zenyewe mbona hazieleweki?hujui chumba kiko wapi, living room, bathroom, kitchen, jamani kabla hamjatoa matangazo ya biashara hebu angalieni wenzenu wanavyotoa matangazo yao sio mnakurupuka tuu
Mdau wa November 3 kama huelewi uliza maana picha zinajulikana kama umepata exposure ya kutosha...kwani hapo kwenye sink na counter haiwezekani pakawa chumbani au sio...na kwenye taa kubwa ya urembo hapawezi kuwa bafu ila livingroom. Kabla haujawaambia wenzio wakaone matangazo mengine labda wewe ukaangali picha za majengo mbalimbali ujue majiko ya kisasa yanakuaje.
huyo jamaa aliyemtukana mwenzie eti Dar alikua transit,,, unabore kama nini vile,,, mimi mwenyewe hiyo Dar siijui kihivyo,,lakini nimeishi miji yote maarufu duniani,,kwa hiyo utaniita mimi ni mshamba eti kwa sababu sijaishi Dar?mji wenyewe upo wapi pale,,ndiyo maana mlikua hamfiki miji mingine mlikuamnaogopa.
11 comments:
safi sana Muhaa...
Ipo wapiti..? Kariakoo, posta, au mnazi mmoja? Maeno maarufu tujue sio woote wanajua jiji la Dar
Mdau wa pili kama hupajui upanga then huna haja ya kujua dar sehemu gani....kama upo majuu na ulipanda ndege then I cn understand dar ulipita njia.. Wacha ushamba wako upanga ni moja ktk maeneo maarufu...wewe utakua wakuja wa hali ya juu yaani hata aibu kuuliza..pumbaffff
Hivi kuna sababu ya kumtukana mtu aliyeuliza? Halafu unasema Upanga wakati ni hizo apt ndiyo ziko Upanga lkn Hotel 6 iko Nkuruma St.
Sina uhakika kama mtu wa mjini anaweza mtukana mwenzake kwa kuuliza swali. Na nyie vijimambo mna-publish upuuzi wake. Kazi kwelikweli
Heay be nice #3 not everybody knows everywhere. Jamaa anataka kujua may be he's a a prospective customer!!! # In a business voice#
Sijui upanga iko sehemu gani, lakini nataka kukodisha chumba na uwezo nnao . NEXT QUESTION !!!!!!!!!!!!
Acha kumtusi mwenzio, kuuliza si ujinga bwana. Kuwa mstaarabu, inaonyesha shule kwako zero ndio maana huna hikma.

Post a Comment