ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 1, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

20 comments:

Anonymous said...

Mada ni nzuri wachangia mada nao wako vizuri sana kwa mawazo yao,lakini wako wapi wakina Yassin Randi na Mwaipaja....? tumewamiss sana, moto ungewaka kwa mada hiyo ya leo kama wangekuwepo

Anonymous said...

mada imetulia iko mahali yake wachangiaji wana uwelewa na wanaona mbali kwa umjula hii mada wachangiaji wameenda shule mada mzuri sana

Anonymous said...

kweli lakini wao hawataki wamesusa kurekodi bila yasababu maalumu wanataka kubembelezwe na jamaa alikataa kuwabembeleza hilo ndio sababu hamuwaoni labda tumwambie jamaa akawaangukie

Anonymous said...

mdau wa mwisho sijapenda ulivyosema jamaa aende kuwangukiya kwani wao mungu aisee jamaa aisiende kuwaangukiye kabisa waende zao kwanza shule iliruka pale so hawa jamaa nawapenda sana wametulia sana na shule wamekwenda

Anonymous said...

nchi ya zanzibar ni ya waislamu bwana mtake msitake na inshallah tutapumua tuwe na nchi yetu tulikuwa tunaishi na wakiristo vizuri sana tena tumechangia nao damu lakini vitna zenu baraaa ndo zinazoharibu nchi yetu na kutaka kutubatiza hamuwezi kabisa

Anonymous said...

kina yassin randi na mwaipaje wanadengua siyo achana nao mungu yupo kipindi kinakwenda kama kawaida hakuna kwenda kuombwa muhusika usiende kuwaomba kwani wao mungu wako achana naoo labda wanataka kulipwa ha ha ha waende ccm wakalipwe

Anonymous said...

david mwanangu umenena vizuri sana kabisa nakupa big up umenena vizuri sana hatuwezi kufanana sisi na wamarekani eti tuwafanyiye watu psycho analysis utamaduni wetu uko tafauti sema wamagharibu ndo wanatuharibia hatulijui hili tukisema hili tunaonekana wadini sijui nani na nani

Anonymous said...

hakuna udini tanzania mataifa ya ubeberu wanataka kuja kuchota mali asili zetu so wanatutafutia kila chochochoko tupigani na kusingizia udini halafu wao wale kiuraisi

Anonymous said...

nchi hii inaongozwa bwana na bibilia msitudanganye bwana zama za zamani ndo mlitudanganya sana lakini si sasa inji hiii inaongozwa na bibilia na mapadri ndo wenye kupitisha sheria msitudanganye bwanaaaaaa kila aliye na akili anajua jambo hili liko wazi halina utata

Anonymous said...

msisifu sana obama jamani na kutuzaraulia raisi wetu jamani, someni siasa njue watu wanafanya mambo kwa kisiasa si kwa utasha wao someni siasa muijue ya dunia nimempenda mzee hapo amatulia tuli kweli anamengi ya kuchangia lakini anaijua siasa ndo maana anakuacheni tuu

Anonymous said...

power of leardership hana raisi anayo padri kanisani kawaulize watakuambia longa longa acheni kuweni wenye kuona mbali

Anonymous said...

source ya yote mataifa ya kibepari wanatugombanisha waje wale na kukwapua mali asili yetu ndo source

Anonymous said...

watu hakuna kuheshimu maisha ya mtu, maisha ya kuheshimiwa ni pesa kwenda mbele baba ndo inayoheshimiwa na ndo maana mko marekani mkaona taizania haifai kwa ajili ya nini kwa ajili ya pesa so walalahoi sisi daima tunazarauliwa na kuwa tabaka la chini kwa nini mnamnyenyekia mzungu jeulizeni si kwa ajili mpate pesa so unadhani maisha ya mlalahoi yanaheshimiwa katika dunia hii popote pale ulipo tena uwe mweusi ndo kabisa kalaga bao hadithi za alinacha hatuzitaki

so yassin na mwaipajo mnataka kurambwa nyayo zenu wakuu tuambiyeni tujui

Anonymous said...

Benja anakata alipiwe rent ya nyumba kwanza ndo arudi kijiweni, hiyo haiwezekani

Anonymous said...

inawezekana inabidi kwakweli tujue nakamakweli basi itakuwa wamefanya vibaya kwani wanatukosesha raha mashabiki wao

Anonymous said...

kwani DC kuna nini kati ya vijimambo na wakina benje na yasini tuwambieni wadau mnaojua

benja said...

Jamani hakuna mtu anaetaka kurambwa mna ndimu na vifuu vya kutemea mate maana kichefuchefu kinachokuja hamkijui mashabiki wa kijiwe msiofu sisi tupo na mtafurahia.benja

Anonymous said...

wanakula goodtime zao hawataka tena kusumbuliwa na story za kijiweni mkiwataka walipeni ndo marekani money talk baby

Anonymous said...

jamani kusema la haki kweli wakina yassin na mwaipaja tuna wa miss kwa kweli na wengekuwepo wangechangamsha sana kipindi hiki kwa vituko vyao lakini pia hawa jamaa wapo fresh sana wanaweza jamani tusiwakatishe tamaa na la pili jamani mbona hakuna hata mmoja wenu mliotoa hapo juu comment kwamba wale mabinti wawili walivyokuja kutufurahisha na wakina mwaipaja,walikuwa wako very smart and very really walichangia mada and i think katika kipindi kile kilikuwa one of the best ever kabisa kwa nini musiwalike tena kama kina yassin na mwaipaja hawataki why not they can do it too jamani si usawa tunapigania siku hizi hasa hasa nyinyi mliopo huko unyamwezini basi wawekeni jamani wale mabinti please ahsanteni

Anonymous said...

Kanisa na Serkali ni kitu kimoja.