Mabondia Ramadhani Shauli kushoto na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese
Bondia Cosmas Cheka akipima uzito uku Ramadhani Shauli akiangalia mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese
Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito uku Cosmas Cheka akiangalia kwa umakinimpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese
Bondia Mohamed Matumla akipima afya kwa ajili ya mpambano wa kesho.
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment