ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 13, 2013

MAITI YAGOMA KWENDA KUZIKWA MPAKA BAADA YA KUBEMBELEZWA HEBU PITIA VIDEO HII UJIONEE MWENYEWE

1 comment:

Anonymous said...

msishangae haya kabisa mfuate mungu na kumuabudu kwa moyo wenu wote wakati mnaishi hapa duniani kumbukeni kuna siku mtaondoka siyo kujiachia kwa sana maisha haya ya kupita na njia, mwenzenu kakuonyesheni ishara kwamba hivi ndo ninataka kuzikwa na hivyo ndo wanavyozikwa wenzetu sehemu ya miguu inalazwa kicha chunguzeni mtaona dini ya kweli ipi

na navyoona mimi huyu amefanywa ndondocha kuna watu wamemtoa roho yake kimaujiza mungu atamlipia na kaona dini gani ya kweli ndo maana amekataa kabisa kuzikwa kwa mila na tamaduni za kwao na dini yake ya dunia kaona hamfai.