ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 5, 2013

MASANJA NA OMMY DIMPOZ USO KWA USO NDANI YA HOLLYWOOD LA

Masanja akiwa na Ommy walivyo kutana California hapa wakipata ukodak mbele ya uwanja wa Lakers Staples Center. Kila mtu ameenda kwa mishe mishe zake na walivyo kutana wapoz na kupata ukodak wa kumbu kumbu.
Masanja na Dimpoz wakiwa china ya ulinzi wa police wa LADP
Ommy Dimpoz mzee wa tupogo akipata ukodak na washabiki wake kulia ni  Diva wa California Miss  Dianarose na kushoto ni mama mzazi wa Dianarose. 

No comments: