Walimbwende walioshiriki miss Tanzania USA pageant annual adition wakiwa katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Helena Nyerere, Alice Mhina, Namala Elius, Julia Nyerere na Joy Kalemera.
Picha Majaji toka kushoto Dinna Michieka Obuya, Peter Walden, Millicent Queen, Queen Mkelemi na Iska Jojo.
Majaji wakipitia kashablasha zao mara ya mwisho kabla ya walimbwende hawajapita mbele yao.
Mlimbwende Julia akipita mbele ya majaji
Mlimbwende Helena akipita mbele ya majaji.
Mlimbwende Alice akipita mbele ya majaji
Mlimbwende Namala akipita mbele ya majaji.
Mlimbwende Joy akipita mbele ya majaji
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment