Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wanaoonyesha bidhaa zao kwenye maonesho yanayofanyika Mnazi Mmoja.

Akinamama wajasiriamali wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho hayo kwenye uwanja wa Mnazi Mmoja.
Akinamama wajasiriamali wakisherehekea ufunguzi rasmi wa maonesho yao uliofanywa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Picha/Habari kwa hisani ya Sufiani Mafoto Blog
No comments:
Post a Comment