ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

MSAADA KWENYE TUTA

Habari,jamani huyo Joseph jersey cty mliomtoa kwenye vijimambo kwamba kafiwa na kaka yake, ni kaka yake yupi huyo aliyefariki Tanzania,mbona hakuna kaka yake aliyefariki ,samahani kwa usumbufu,naomba nitumie jinsi yakutuma comment nataka nicomment kwenye hiyo habari .

Mdau mkubwa Vijimambo

4 comments:

Anonymous said...

kweli mimi pia nimeishauliza sana nikaambiwa mbona kwao hamna msiba wowote,je kweli ni kaka yake yupi au ni habari imekosewa....na huyu si yule Joseph wa moshi mjini kuna wakati alishiriki bongo star search au ni watu ufanana sura mpaka majina.

Anonymous said...

kweli ni kaka yake yupi aliyefariki

Anonymous said...

kweli jamani pia mimi napenda kujua

Anonymous said...

au huko kwenye nchi za watu kwasababu ni mbali na huku na mtu hajui ulipotoka hajui historia ya nyumbani kwenu kwa hiyo unaamua kudanganya tu huku tunaita ni kujichulia atakuja kupata msiba wa kweli na sijui kama ataweza kuandaa chakula kama alichoandaa watu kumpa pole jamani watu hatuna uwoga tunakuwa matapeli mpaka kupitia vifo inatisha sana.