Viongozi wa Tawi la CCM California wakiongozwa na Mwenyekiti Josephine Masabala (Mwenye Flana ya Njano Katikati) na Katibu wake Erick Byorwango (Wa Mwisho Kulia) walivyokutana Jana Jioni jijini Oakland, Ca kupanga mikakati ya kuimarisha Chama na maandalizi ya kusherekea tarehe ya Kuzaliwa kwa CCM Februari Mwakani.
No comments:
Post a Comment