ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2013

HII NDIYO SOCCER YA TANZANIA WAMEJENGEWA UWANJA MZURI LAKINI HASIRA ZINAVYO WAPANDA KUTOKANA NA TEAM YAO KUTOFANYA VIZURI WANAISHIA KUNG'OA VITI

Inasikitisha kuona mtoto mdogo hapo juu akijaribu kupanda ukuta kuokoa uso wake usipatwe na moshi wa mabomu ya machozi. Atajifunza nini mtoto huyu juu ya matukio kama haya?, Je unafikiria nini kifanyike ilikuzuia jambo kama hili kutotokea tena.

No comments: