ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 10, 2013

Penny Akimbizwa Hospital Baada Ya Kuona Picha Za Wema Na Diamond …

Story zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, Kuwa Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena apo ndipo ikampelekea Dvj Penny kupoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali.

10 comments:

Anonymous said...

Hehe majangaaaa!

Anonymous said...

Wanaume ndo hao kufa ufe wewe, yeye anakula bata! Pole penni

Anonymous said...

Haka kadimondi kanaleta shida kanahitaji kuzimishwa sasa hii sasa ni wendawazimu na ulimbukeni mtupu.

Anonymous said...

Mungu wangu!!!! Makubwa! Wasichana naomba mjithamini na kujitambua mtajakufa kwaajili ya wanaume msipo angalia!!! This is serious! !

Anonymous said...

Haya ulikuwa hujui Diamond ni msanii na pesa zinamsumbua, atawachafua sana jipelekeni tu poa yeye hajashindwa kubadilisha kwa masaa hata siku. pole weeehh.

Anonymous said...

Pole sana Penny. I wish you a quick recovery. Napenda tu uelewe kuwa Wema kwa bahati mbaya au nzuri ni mzuri kuliko wewe. Kwahiyo ukiamua kuwa na Platnumz itabidi uwe na roho ya chuma.

Anonymous said...

Pole sana penny huyo wema ametakukurusha roho Kama ulivyomrusha roho wewe kwa ile tape alompigia simu mumeo Diamond! Pole na Kuwa na subra tafuta mikakati mingine ulipize kisasi.ok take care

Anonymous said...

Did i get the story right?huyo penny alikutana na platinumz thru wema? Thats a good lesson for all women who stub their bff on their back. I have no mercy on these type of women. Lesson learned!!!! Wema take him back na make sure u r on top of the game if u know what i mean

Anonymous said...

Wema hana uzuri wowote utakuwa una makengeza kusema wema ni mzuri, anyway penny na wema wote ni wapumbavu, huyo diamond anawapotezea wote muda fungukeni akili

Anonymous said...

GOOD! SERVES HER RIGHT! ONCE A PLAYER WILL ALWAYS BE A PLAYER. KAMA WEWE ULIWEZA KUTOKA NAYE BAADA YA KUJUA KUWA ALIKUWA NA WEMA NA WEWE NA WEMA NI MASHOSTI THEN YOU SHOULD EXPECT THE SAME IT WAS THE MATTER OF TIME.