ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 2, 2013

Picha za tukio la vurugu zilizotokea huko Mbeya baada ya wafanyabiashara kugoma kununua mashine za TRA kwa Tsh 800,000


Leo siku ya pili October 2013 zimetokea vurugu huko 87.8 Mbeya baada ya wafanyabiashara kugoma kununua mashine za TRA zenye thamani ya Tsh 800,000 ambapo baadae walitawanywa na mabomu ya machozi kutoka kwa Polisi… hizi ni baadhi ya picha za tukio lenyewe

1 comment:

Anonymous said...

Haya yote yasingefikia huku hasa iwapo busara ingetumika pasipo kuweka zaidi msisitizo katika sheria.