Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kwa madhumuni ya kusalimiana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks, baada ya mazungumzo yao, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
(Picha na Ikulu, Zanzibar)
No comments:
Post a Comment