Official Dinner will be Served From 9:45PM- 10:30PM
Zawadi Ya Pili Ni :
NEW - Canon PowerShot A2500 16MP 720p Digital Camera with 2.7-Inch LCD
THE PLATINUM TANZANIA NEW YEAR PARTY


Matnice Events and Conference Center

Perfect venue


Hii Kindle Fire Yenye Thamani ya $200 Itapigiwa bahati nasibu kwenye Sherehe hizi. Kutakuwa na Zawadi tatu Mshindi Wa Kwanza atapata hii. Ticket za Raffle ni $2 tu. You can buy More than one ticket to increase your chances.
Kununua tiketi kupitia :
Kwa kupata ticket yako piga:
301-793-4467
301-613-5165
240-645-2131
301-367-8151
Au andika:
info@watanzaniadmv.org



18 comments:
Andress ,Mpwa.
Hujui kusoma mdau?
DMV kwa pati khaaaa.....!!!!!!!!!! Mmezidi.mngekua mnafanya pati na maongezi ya maana jumuikeni peaneni ushauri how to open daycare, health care agencies, rental car business na hata jinsi ya kufungua biashara mbali mbali huko kwetu Ranzania. Pati pati mmezidi.
Wacha hizo . Tarehe 8, kuna Mkutano wa PSPF WA KUJADILI BIMA, NYUMBA, MIKOPO YA BIASHARA NA NK.
WAXHA SHUTUMA.
KULIKUWA NA NSSF , NHC, CRDB, TIB AND NK.
SASA HACHA KUSEMA DMV TUNAPENDA PARTY .
TANZANIA KAMA WEWE UFANYE BIASHARA TANZANIA NI USEMBE WAKO TU , AZANIA BANK , CRDB, NHC NA NK WALILETA FURSA .
FUNGUKA UKIKAA KWENYE KEY BOARD YAKO NA ANGALIA UNACHOANDIKA.
Pati zinakukela nini wakati wewe uko bongo?. Watu wana biashara zao na kazi zao ndio maana wanaweza kupati hata kila siku ikiwezekana. Pole sana kama unaumia. Watu wamechoka kupagawishwa ndio maana biashara zao zipo huku sio bongo. Mbona wewe ufungui biashara huku?.
Tuache tuishi maisha yetu kwa raha zetu.
Pati zinakukela nini wakati wewe uko bongo?. Watu wana biashara zao na kazi zao ndio maana wanaweza kupati hata kila siku ikiwezekana. Pole sana kama unaumia. Watu wamechoka kupagawishwa ndio maana biashara zao zipo huku sio bongo. Mbona wewe ufungui biashara huku?.
Tuache tuishi maisha yetu kwa raha zetu.
DMV TUMETULIA , UONGOZI WA DMV UMETULIA, UBALOZI uko PAMOJA NA SISI KWA SAANAA, TUNASAIDIANA KWENYE SHIDA NA RAHA. TUNAZIKANA .
NA TUNA PARTY PAMOJA .
Hahaaa mdau uliekereka na party kwani umelazimishwa kuhudhuria? hebu acha watu wajirushe kwa raha zaao, km huna hela ya ticket sema bwana, umrbaki wewe tu ambaye huna biashara.
Dude...Kichefuchefu hapa ni kwamba hizi party zote lazima zifanyike PG? What's wrong with getting a spot in DC or MO county. Siku zote mnatupeleka vichochoroni mara Warehouse. Come on Man!! Wengi nyinyi mnaishi upande wa Hyattsville, we got that but change venues sometimes, Bethesda can also be good for you.
DC PARTIES = MAJUNGU.COM
Wacha Domo kaya hilo. Wewe Umeona PG ndio tatizo. Mbona hukutaja wa TZ wa Richmond au sisi wa Baltimore. Au unataka Ubalozi pia tuu ambie uamie Agerstown. Tuweni wajengaji jamaa. Uongozi mnaushambulia bila vielelezo kamili. mkipata viongozi wahuni mnalalamika.
Hivi nyie wa DMV sijui wapi bila party ya kutozana pesa kila kukicha huko Marekani hakukaliki? Maana naona mmezidi na bei at times watu hawali walicholipia na kupangiwa wale nini and at the end of the night mtu anaondoka na njaa.
Hamna kazi au time ya kulea familia kuliko kushinda mnanyonyana pesa na kujifaidisha wachache.
Eti manomba watu wachangie, I think party au gettogether ya kila mtu kupika kuleta msosi na watu kuleta bottles wanazopenda na kuchanganya na wengine au kupeana mtakunywa na kuacha na kula na kushiba haswa hata kubeba take aways kuliko haya makubwa hata mvuto hakuna tena
Wewe wa December 21, 2013 at 11:29AM.
Ukisikia umbea ndio huo. Kama wewe uko bongo ya huku USA yanakuhusu nini? Au ndio nyie mnayifanya mko bongo kumbe uko hapa DMV. Salaaaleh.
Umesema watu walete vyakula na Botles. Halafu Hall, DJ , ULINZI NK akulipie nani?
Hii sio picnic . TOFAUTISHA KAKA/DADA.
Ati watu hupangiwa watakula nini. Sijawahi kuona akili hizi. Sasa ulitaka watu wote watakaokuja kwenye event waulizwe wanataka wapikiwe nini . ARE U SERIOUS?. Bora ubaki huko huko TZ na mawazo hayo.
Fikiria kabla hujafungua akili na kuanza kuandika.
Nimefurahishwa na Comment ya IHEARTYOU ya Dec.18; hiyo Equation ya DCPARTIES=MAJUNGU.COM is a good observation. Of course, kuna baadhi ya wabongo DMV ambao ni intellectually inferior; ndo hao wapendao majungu tukiwa kwenye gatherings. Hao wachache hawapunguzi amani. My suggestion for you ni kuwaweka chini (despise them); and try to hang with the more sophisticated and intellectual folks..tupo wengi mdau!
Naona MR DJ ume-mute kutoa comments. Sii tunakusaidia wewe ili mambo yako yaende vizuri.
Acheni majungu uongozi dmv ndio pekee hufanya pati fea. Kwenye komunite kubwa kama hii majungu lazima yawepo.muhimu ni kuyaiginoo. Bethesda huwezi kupati tu ze fules ti yaani full kujiachia.
Ha ha ha ha ha full kujiachia. Watu wanataka kupati mpaka majogoo LOL Majanga.
Patakuwa Hapatoshiiiiiiiiiiiiii.
Post a Comment