Hivi BAKWATA mko serious na shughuli au mnafanya masikhara? Hii so called press release haionyeshi ni official. Haina reference number, Haina Tarehe Haina Jina la aliyetia sahihi Haina Cheo cha aliyetia sahihi
Na cha mwisho na muhimu zaidi, ni kwa mantiki gani mmefikia uamuzi wa Eid al Adha iko tarehe 16, wakati siku ya Arafat ni tar 14??? Au Tanzania Iko Arafat yake tofauti?
1 comment:
Hivi BAKWATA mko serious na shughuli au mnafanya masikhara?
Hii so called press release haionyeshi ni official.
Haina reference number,
Haina Tarehe
Haina Jina la aliyetia sahihi
Haina Cheo cha aliyetia sahihi
Na cha mwisho na muhimu zaidi, ni kwa mantiki gani mmefikia uamuzi wa Eid al Adha iko tarehe 16, wakati siku ya Arafat ni tar 14???
Au Tanzania Iko Arafat yake tofauti?
Post a Comment