Kama Mnavyofahamu ,ndugu yetu,Timothy Mshomi, mtoto wa Bariki Mshomi na Anna Kasidi wa Minnesota,amefariki dunia ghafla Alhamisi asubuhi nyumbani kwao Rogers Minnesota.
Kuanzia jumatatu,Msiba upo nyumbani kwa Bariki Mshomi kwenye anwani: 22820 Gardner Ave, Rogers Minnesota. Leo jumapili hatutakutana mpaka kesho jumatatu.
Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi mchana October 19th 2013 St.Paul-Minnesota.
Kama ilivyo desturi yetu,tafadhali tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kukamilisha shughuli hii na kuwasaidia ndugu zetu katika kipindi hiki kigumu.
Kwa wale waliopo nje ya Minnesota au nje ya marekani,mnaweza kutuma michango/rambirambi zenu kwenye Bank account maalum kwa ajili ya shughuli ya msiba huu:-
Bariki Mshomi or Anna Kasidi,
Wellsfargo Bank
Routing # 091000019 Account # 9835036949
swift code WFBIUS6S Wire from USA :Routing # 121000248 and account # 9835036949
Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba na mipango ya mazishi,unaweza kuwasiliana na wafuatao:-
Dr.Crispin Semakula 651-983-7637
Gracious Msuya 763-439-5626
Sally Semakula 651-983-7632
Dada Lau 651-329-1421
Jackson Mollel 651-334-0163.
MUNGU AKUBARIKI NA MTAARIFU NA MWINGINE.

1 comment:
Very sad situation, hawa vijana ni vijana wetu jamani!! Mungu amlaze pema.
Post a Comment