Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Uzao wa Bongo Star Search binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Mshabiki wa Skylight Band wakijimwaga taratibu kwa kujinafasi Njoo leo jioni pale Thai Village ule Bata na Skylight Band.
Kipaji kingine ndani ya Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akipewa sapoti na Mary Lucos.
Digna na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Band ya Ukweli na ya kisasa inayogusa rika zote na muziki wa kila aina Skylight Band......Mashabiki wa Skylight Band wakijinafasi.
Ukawadia ule wakati wa kugawa pesa na complimentary kwa mwanadada atakayecheza Style ya Titi .....titi.....titi....! inayotolewa mfaano na Aneth Kushaba AK 47 kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mwanadada akionyesha ufundi wake wa kucheza style hiyo.
Mwingine nae huyo.....
Mdau alione hata hii ni motisha Skylight Band inafanya vizuri na kuamua kuwaunga mkono kwa kujitolea fedha taslimu shilingi 50,000/= kama zawadi kwa watakaocheza vizuri, jumla ya shilingi 200,000/= zilitolewa kwa wadada wanne waliocheza vizuri.
Aneth kushaba akitoke kupokea fedha hizo kwa mdau.
Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower wakizehesabu fedha hizo huku shabiki wa Skylight Band akisubiria kuzungusha nyonga.
Hapo sasa twende kazi.
Utamu wa Skylight Band unapokelea ndio kama hivi.
Joniko Flower akiwauliza mashabiki tuwape tusiwape....wanajua hawajui....hawa walikuwa miongoni mwa waliojishindia kitita cha shilingi 50,000/= kila mmoja.
Aneth Kushaba AK 47 akitoka kuchukua mzigo mwingine kutoka kwa Jembe....Je unamfahamu Jembe ni nani????.
Mheshimiwa Bindala alikunwa sana na uchezaji wa huyu dada na kuamua kmwongezea mafedha.
Joniko akimpa haki yake shabiki aliyecheza vizuri.
Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band wakifurahia zoezi hilo lililoonekana kuwavutia wengi kwa vicheko na vifijo.
Huyu ndio aliyefunga dimba la zoezi hilo.
Akipewa haki yake baada ya zoezi hilo.
Mashabiki wakijiachia kwa raha zao....Skylight Band ndio wakali wa town....tukutane pale kati leo jioni.
Kutoka kushoto ni Mheshimiwa Bunda, Digna wa Skylight Band na mdau Emmanuel.
Mdau Victo Maginga (kushoto) akiwa na wadau wa Skylight Band.
Backstage ya wasanii.
No comments:
Post a Comment