Juu na chini ni Mtoto Natalie akionyesha umahili wake kama model wa kutembea kwenye zuria jekundu
Juu na chini ni mtoto Aman naye kwa mshangao wa wengi alifanya mambo yake Jumapili Oct 13, 2013 Nectar Lounge kwenye miss Tanzania USA Pageant annual adition baada ya Adition kumalizika Aman alifanya nae vitu vyake kama unavyomuona.
Juu na chini ni mtoto Ijeoma akionyesha kwamba hayupo nyuma kwa mambo ya umodel na mwenye uzoefu kwa mambo hayo
Kutoka kushoto ni Ijeoma, Aman na Natalie katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment