ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 2, 2013

WATOTO WALIOANA, HUKO DODOMA HARUSI YAO HII HAPA


Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau.

Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE kwa kuhudhuria na kufanya udadisi wa kina kwa familia, viongozi wa serikali na wanandoa wenyewe wachanga.

No comments: