Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa Mh. Shamsi Vuai Nahodha ameongoza wanajeshi , wakazi wa jiji la Dar es Salaam ndugu na jamaa katika kuaga mwili wa afisa wa jeshi la Tanzania Luteni Rajabu Ahmed Mlima aliyefariki Jumapili huko jamuhuri ya demokrasi ya Congo- DRC akiwa katika shughuli za kulinda
No comments:
Post a Comment