ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 10, 2013

Afisa Mtandaji Mkuu wa SAGCOT azungumzia hali ya uzalishaji wa chakula Nchini

Bwana Geoffrey Kirenga ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu, kituo maalum cha uendelezaji kilimo ukanda wa Kusini Tanzania (SAGCOT) akielezea hatua kuu ya maendeleo katika kutoa elimu kwa wakulima. Pia alizungumzia kuhusu hali ya uzalishaji wa chakula nchini

No comments: