Advertisements

Sunday, November 3, 2013

CARREN MGONJA WA HABARI GROUP AMFANYIA PART YA KIPAIMARA BINTI YAKE ELIZABETH THOMAS


Carrenflora Mgonja wa kundi la wajasiliamali wa kikundi cha Habari Group akiwa na mumewe Patson Mlandali wakati wa kumfanyia part ya kipaimara binti yao Elizabeth iliyofanyika katika ukumbi wa Abiola Buza Dar es salaam jana
Washereheshaji wa shughuli hiyo Anti Latifa kushoto na Sakina Lioka wakiwa na CArren Mgonja wakati wa sherehe ya mwanae
Elizabeth
wafanyakazi wenzie
WAZAZI WAKICHEZA MUZIKI
WAZAZI WAKITOA NENO LA KUWAKARIBISHA WAGENI
Carrenflora Mgonja

No comments: