
Kama ni mpenzi mitandano ya kisasa na habari zisikupite basi hiyo inakufaa

Kwa wale wapenda swagazz

Kma mpenda ni mvuvi au mpenda samaki basi jichongee hilo kabisa

Old is gold mambo ya enzi hizooo, wale wenzangu wa zamani basi hili jeneza inatufaa

Kwa sisi wapenda vitamu basi hii size yetu
No comments:
Post a Comment