Wajanja tulikuwa hatuweki kanda kwenye makasha sababu ilikuwa washikaji wakija Ghetto wanachua kanda unaachiwa kasha
1 comment:
Anonymous
said...
si utani umenikumbusha mbali dj luke ni kweli kabisa so ikichukuliwa kanda yako unajua mtu kachukua enzi za raha enzi za zamani wizi wajijinga jinga sio wa siku hizi ufisadi na kuwana na kurogana zaamani una cheel kimasikini lakini unafuraha na washikaji wenzako siku hizi unajiuliza kweli hawa wananipenda mimi au pochi langu kazi kweli lakini yote maisha

Post a Comment