ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

HUYU NA YULE: Mjadala kuhusu MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE

Katika kipengele cha HUYU NA YULE, wiki hii tuliungana na VIJANA WATATU
Liberatus Mwang'ombe, Peter Walden na Ally Badawy kujadili MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE.
Ali Badawi (kushoto), Peter Walden (kati(na Liberatus Mwang'ombe (kulia) wakiendelea na mjadala ndani ya studio za Jamii Production
Ulikuwa ni mjadala mrefu na huru ambao ulikuwa na mengi ya kufunzana
Karibu uungane nasi
Wakati tukimalizia mjadala kuhusu MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE, Peter Walden alimuuliza Liberatus Mwang'ombe swali kuhusu kufunguliwa kwa matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi.
Liberatus ni Katibu Mkuu wa Tawi la Chadema hapa Washington DC
Hapo pakawa na ka-mjadala kadoooogo ambako hata Ally Badawy na mwongozaji wa kipindi Mubelwa Bandio wakachangia.
Karibu usikilize

Kwa maoni, ushauri, nk usisite kutuandikia jamiiproduction@gmail.com

3 comments:

Anonymous said...

Mr. Peter Walden won the Debate.
High five for you baba, sijui umeenda shule gani maana una knowledge Aisee.

Anonymous said...

Anonymous wa kwnza….Hii haikuwa debate. Ilikuwa discussion tu.

Anonymous said...

Anonymous wa pili pole hujui maana ya debate wala discussion chukua hii hapa:::::

de·bate


/diˈbāt/


noun

noun: debate; plural noun: debates



1.



a formal discussion on a particular topic in a public meeting or legislative assembly, in which opposing arguments are put forward.


synonyms: discussion, discourse, parley, dialogue; More


argument, counterargument, dispute, wrangle, war of words;

argumentation, disputation, dissension, disagreement, contention, conflict;

negotiations, talks;

informalconfab, powwow

"a debate on the reforms"

an argument about a particular subject, esp. one in which many people are involved.


verb

verb: debate; 3rd person present: debates; past tense: debated; past participle: debated; gerund or present participle: debating


argue about (a subject), esp. in a formal manner.

synonyms: discuss, talk over/through, talk about, thrash out, hash out, argue, dispute; More


Au nenda kafungue kitu kiitwacho DICTIONARY.