ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 25, 2013

JANUARY MAKAMBA APEWA MAKAVU LIVE NA LADY JAY DEE

Lady Jaydee aka Anaconda amemshukia January Makamba live mara baada ya mheshimwa huyo kuandika post inayo husu kupromte wamamuziki na wasanii wa Tanzania kupitia twitter yake. Hebu cheki mambo yalivyo kuwa.

2 comments:

Anonymous said...

Nampeda Lady Jay, anasema ukweli hafichi ukweli hata uwe nani

Anonymous said...

Sawa jide upo sawa kabisa