ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 6, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUTOKA KWA WADAU WA NEW YORK

Kijiwe No. 40 from Luke Joe on Vimeo.

8 comments:

Anonymous said...

kweli marekani pazuri meya wetu wa moshi mjini ndio kapendeza hivyo mzee Mallya,na nimependa sana hii hoja mmeijadili vizuri sana.

Anonymous said...

the thing I like about kijiwe is sometime you got some good ideas. kama hichi cha leo,to make the matter short ni kwamba viongozi wajumuhia za watanzania hapa marekani wawasiliane waandae ujumbe, next time Kikwete anaingia hapa marekani akutane nao, sio ubalozini bali kwenye hall na watanzania wenye nia ya kwenda kumsikiliza,na wampe shida zetu atuhubie uso kwa uso. kuhusu hizi shida zetu. sio kila akija mnakwenda kupiga picha naye na kula naye then that it.then akiondoka mnalalimika. Na wewe mzee leo hii umejichagua kuwa balozi wa kuoganize hawa viongozi wetu wa diaospora, we are count on you. u need to start it right away. I will call u personal to check how many of them u call and what they say. umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. thank u Julias N.

Anonymous said...

Safi sana. New York mmesema vizuri.

Unknown said...

Good topic,intellectual Tanzania citizen.Together we stand!!

Anonymous said...

Very good point and well articulated @Shabani Mseba

Anonymous said...

Mi nimewapata. Hata watu wanahama Iringa au Mtwara kuja Dar lakini wanabakia wahehe au Wamakonde na hawafukuzwi wakirudi vijijini mwao. Hivyo issue hii ni muhimu sana.

Anonymous said...

kweli mada nzuri, angalau kijiwe chetu kimeanza kujadili mambo ya msingi wale wavuta bangi wanaojadili upuuzi kwenye vipindi vilivyopita msiwaruhusu tena, mwendo uwe wa kujadili mambo ya msingi kama haya, hongereni sana

Anonymous said...

Hongera new york tumecheka kama kijiwe kinavyo kua na topic yamaana imezungumzwa mkataa kwao ni mtumwa je anae wafukuza ma kwao mae ni mani?