ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 15, 2013

KOVA:MHE.KAPUYA HANA KOSA LA KUHOJIWA NI MAMBO YAKE BINAFSI IJUWE BONGO

Akiongea na wanahabari leo mchana kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye amakuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.

"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"

2 comments:

Anonymous said...

Kova anafanya masikhara au siyo?
Yaani hawezi kuwa serious na aliyosema !!!!!
Jamani ama kweli Bongo tambarareeeee!!!

Anonymous said...

kapuya mbakaji na kama ni kioo cha jamii na anatawala katika serikali kwa nini asichukuliwe hatuwa mbona bill clinton alitangazwa nchi nzima na kuzalilishwa na kuwajibishwa watanganyika ni watu wa ajabu sana na ccm ndo inawapa kichwa mtoto mdogo kumbaka ndo sawa halafu eti swali la ke binafsi kwani yule mtoto alitaka kubakwa kwa hiyari yake