ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 15, 2013

NDANI YA JIJI LA DAR KUKINYESHA HABARI NDIYO HII

Hapa ni mwendo wa kuvushwa kwa kutumia mkokoteni kama utaki tembea kwenye maji habari ndiyo hii bongo kukinyesha riziki kwa wengine maisha yanaendelea kufa kufaana bana.

No comments: