Mkurugenzi na Mmiliki wa Delina Groups Inc. Super Mogul Davis Mosha, pamoja na kutoa vifaa vya michezo vya mamilioni ya Shillingi kwa Timu za wabongo za Simba na Yanga, huko Mambelez DMV na Texas, pia ametoa Zawadi ya USD $ 5,000 ambazo zitakuwa zinashindaniwa kila mwaka na timu hizi ikiwa na maana mshindi wa kombe atakuwa pia akiondoka na kitita hicho cha dola za kimarekani.
Kushoto ni Ofisa wa Delina Groups Inc. Imma Msuya akimkabidhi Mkurugenzi wa African Swahili Media wa USA Bw. Alex, wiki iliyopita katika makao makuu ya ofisi za Delina PPF Towers downtown Bongo. Credit kwa Mzalendo 25 Blog
5 comments:
mimi mbona niko texas na ni mchezaji timu ya watanzania lakini sijapata hizi vifaa wala kusikia taarifa yoyote toka kwenye viongozi wa timu yetu.
hivi hizi hela na vifaa hapa Maryland wamepewa watanzania gani,jumuhia ya Watanzania hiko mmoja, timu hiko moja, unless inapojigawanya kuwa samba na yanga, sasa hivi vifaa viko wapi, isije ikawa mnapeana majumbani kwenu halafu mnatangaziana huko ni kutia ubaya...kama vifaa vipo kwenye jumuhia au kwenyetimu husika. Luka usitangaze vitu ambavyo havipo, you know better than anybody....
u got connection, connect people to the right people. don't use it as a sticky to success. timu ya Tanzania DMV inastruggle kupata fedha na vifaa kushiriki ktk ligi ya world cup Diaspora. where is this all come from.....
Acheni usanii, Texas kubwa sana. Semeni hivyo vifaa kapewa nani? Kama sio utapeli wa kwenda mbele. Ndugu yangu mwenye Media group, ongeza juhudi kazini utafanikiwa tuu.....
jamaa hizi pesa kapata wapi na la pili le mutuz anazinyati nyati ndo maana yuko bega kwa bega kaona mnusu ha ha ha.
luke my man weke hii comment please bro
Post a Comment