Advertisements

Sunday, November 10, 2013

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA JIMBO LA DONGE LEO

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akipandisha bendera katika moja ya matawi mapya ya chama hicho katika eneo la Donge.
 Wafuasi wa CUF wakiwa tayari kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad.
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi kadi kwa mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na chama hicho katika Jimbo la Donge.
 Wafuasi wa CUF wakiwa tayari kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad.
 Wafuasi wa CUF wakiingia Donge wakiwa na  ujumbe wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad.
 Wafuasi wa CUF wakiwa wakibeba ujumbe mzito katika eneo la Donge.
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Muwanda Jimbo la Donge.
Vijana wa CUF Donge, wakighani utenzi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Muwanda Donge. 
Picha na Salmin Said, OMKR.

No comments: