ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 11, 2013

Mawaziri watembelea Mvomero kutafuta ufumbuzi wa mgogoro.

Kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero mkoani Morogoro timu ya mawaziri watano ikiongozwa na waziri wa mambo ya ndani Dr. Emanuel Nchimbi imetembelea wakulima wa vijiji vya dihombo na mkindo na kuonyesha kutoridhishwa na zoezi la ukamataji wa watu wanaotuhumiwa na mauaji ya wakulima na wafugaji na kuliagiza jeshi la polisi kuwaachilia huru watuhumiwa wasio na hatia.

No comments: