ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 11, 2013

WATANZANIA WASHINGTON STATE WAMKARIBISHA MAKAMU WAPILI WA RAIS SMZ MHE. BALOZI SEIF ALI IDDI

Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiongea na Watanzania waishio Seattle, Washington State walipomuandalia hafla ya kukutana nae siku ya Jumapili Novemba 10, 2013 mjini Seattle, WA Mhe. Balozi Seif Ali Iddi aliwaasa Watanzania waishio nje ya nchi kuheshimu taratibu na sheria za nchi wanazoishi, vile vile wasijisahau kuwekeza nyumbani ili watakapoamua karudi wewe na msimamo wa maisha badala ya Kuanza kutangatanga.
Juu na chini Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington State pamoja na Watanzania waishio huko katika picha ya pamoja na Makamu wa pili wa rais serikali ya mapinduzi Zanzibar.
 Juu na chini ni Watoto wa Watanzania waishio Washington State wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa pili wa rais Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: