Jovin Mgalula Shambusho enzi ya uhai wake
Juu na chini ni Sehemu ya kumbukumbu ya safari ya mwisho ya Jovin Mugalula Shumbusho iliyofanyoka kijijini kwao Kemondo Bay,Bukoba tarehe 11 novemba 2013. Jovin alikuwa ni afisa mpelelezi mkuu wa kodi wa mamlaka ya mapato tanzania (tra). Jovin ni mume wa Eva Renson na baba wa Nancy na Jovin Junior. Kaka zake Jovin ni Deogratias, Richard, Projest, Charls, Jasson, Edgar na George. Jovin ameacha dada yake kipenzi aitwaye Anna pamoja na mashemeji wafuatao: Shani, Laura, Joyce, Mercy Charles, Beatrice, Setty Lemmy na Mercy Gii.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

















2 comments:
Rest in Peace Shumbusho. Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
rest in peace bro,
Post a Comment