Siku chache baada ya rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutoa msimamo wa Tanzania kutokujitoa katika jumuiya ya Afrika mashariki waziri wa mambo ya nje wa Kenya amempongeza rais Jakaya Kikwete na kusema kuwa hatua hiyo itaimarisha zaidi uhusiano wa juimuiya hiyo.
2 comments:
Badala ya kutueleza tatizo ni nini na wana mpango gani? Wameishia kupongeza hotuba ya rais. Kweli?
Nilidhani kuna zaidi ya kupongezana
Don't be fooled
Why is only Kenya,waliopengeza,
Kenya will support almost anything we say because they need our support in ICC.
Post a Comment