Penny na Wema
Stori: Imelda MtemaMTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniela Mwingilwa ‘Penny’, ambaye ni mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amesema yupo tayari kuchangia mapenzi na msichana mwingine yeyote ambaye atachukuliwa na mwanaume huyo anayempenda.
Penny, chaguo la mama mzazi wa staa huyo wa kibao cha My Number One, aliliambia gazeti hili maneno hayo, yanayotafsiriwa kama yupo tayari kuchangia mapenzi na hasimu wake, Wema Sepetu ambaye amerejesha uhusiano wake wa kimapenzi na mwimbaji huyo mpenda vidosho.
“Ninampenda Diamond na sitaki kumpoteza. Nia yangu ni kumuona akiwa na furaha. Kama Diamond anaona kuna msichana mwingine wa kutoka naye na kwake hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema wamerejesha uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya kijamii zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko Ughaibuni.
Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za karibuni amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka-GPL
5 comments:
Hana mapenzi naeee na diamond.analijua hiloooo na ndo maana hamtakiiii anaona aibuuu kutokaaaa! !!!!atachekwa mjiniiii hana lolotee. .kujipendekeza tuuu.lol
Huo ni ulimbukeni wa mapenzi mnang'ang'ania nini wakati mtu mwenyewe mgawaji kaa pipi kuna nini mlichokiona hapo! kwani kama ni kuolewa si muamue tu kila siku mnatuzingua kwenye mablog hamna lolote.
Habari zingine mnazopost hazina maana
KWELI KABISA HABARI ZINGINEWA HAZINA MAANA WANATAKA KUUZA SURA ZAO NA MAGAZETI SIJAONA WANAWAKE WENYE SLOW SELF ESTEEMS KAMA HAWA YANI MWANAMME MWENYEWE KICHECHE NA BADO WANAMNGANGANIA SI AFADHALI ANGEWAOA NA SI NILISEMA MIMI KWAMBA WEMA ANAYAJUA NDO MAANA JAAMA KARUDISHA MAPENZI KWAKE WATANGANYIKA BWANA KWA SIFA ZA KITOTO NDO WENYEWE NA WAPUUZI WA MAPENZI
MNATUZINGUA BURE HABARI ZENYEWE HAZINA DEAL UZENI SURA NA MAGAZETI NDO MLICHOBAKIA NACHOO NA SEMBE NDO MAANA MNATOKA
Binti Penny naomba usitudhalilishe wanawake, Nia yako ni kuona yeye anafurahi na yeye Nia yake ni nini? Do you even matter to him ?Are you that desperate, don't you see nia yake got nothing to do with your happines and you call that love .it doesnt make any sense.Why do you compromise so much kwani mama akikupenda unamwoa yeye? What are you sacrificing for at this age kama umefikia kiwango hiko what will you do if you had children to feed and shelter atlist you will have an excuse to put up with such bull... A man has to value and respect you before he can love you. You are too young to become a curtain get it straight. ASAP
Post a Comment