Mtangazaji Maarufu Kutoka Marekani Oprah Winfrey ameonyesha kuikubali lugha ya Kiswahili baada ya kupost Picha Akiwa ameandaa Chai kwa ajili ya kiburudisho cha siku ya jumapili.
Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai na tabasam kubwa kabisa
Haya ndio maneno ya Oprah aliyopost Instagram
Oprah Aliwahi kutembelea Tanzania katika Mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata Kifungua kinywa kati kati ya Mbuga, huenda huko ndipo alipopata neno CHAI
Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai na tabasam kubwa kabisa
Haya ndio maneno ya Oprah aliyopost Instagram
Oprah Aliwahi kutembelea Tanzania katika Mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata Kifungua kinywa kati kati ya Mbuga, huenda huko ndipo alipopata neno CHAI


11 comments:
This is so sad. Neno 'chai' limekuwa likitumika na mataifa mengi ya Asia, ulaya na middle east miaka mingi kabla kiswahili hakijaanza kutimika duniani na kabla wazungu hawajaleta zao la chai Afrika. Oprah amezitembelea nchi zinazotumia neno 'chai' kabla ya kutembelea Tanzania. The notion that Oprah learned 'chai' during her Tanzanian tour is ludicrous. Acha uvivu, do your research first before measleading people. Unaweza uka google tu ili kuthibitisha maelezo yangu.
Kwa taarifa yako asili ya neno chai ni: Turkish çay & Russian, Persian, Hindi, & Urdu chay tea. Siyo lazima liwe neno la kiswahili.
mmmmh! neno chai linatumika sehemu nyingi tuu sio kiswahili pekee hata india chai wanaita chai,
Chai ni neno la kihindi, kila mtu anajua hilo
Chai ni neno la kihindi, kiarabu na hutumika marekani na ulaya kama kinywaji moto au baridi. Kiswahili kimeazima maneno mengi ya kiarabu na ya kihindi, hivyo itakuwa upotoshaji wa habari tukisema bi oprah kasikia Chai Tanzania.
Chai is a common English word in Asia and Africa as well.
Mbona neno hili Chai halina asili ya Kiswahili. Neno hili hutumika pia kwenye nchi kadhaa za kiarabu zikiwemo Iran na Iraq na hata kampuni ya Starbucks wanauza Chai. Cha ajabu nini??!!
Zanzibar.
Msikurupuke tu kupost habari zisizo na maana kabla hamjafanya uhakiki vinahuzunisha
Yani kwa mtazamo huu nafikiri hujawahi hata kuangalia movie ya Color Purple ambayo Oprah naye aliact in it. Nakusihi angalia, yule mkwe alikuwa natoka Tanzania na kunasehemu wameongea KISWAHILI full sentence.
Luke, usiwe mvivu wakufanya really research kabla ya kuandika vitu. Thanks
KUandika chai ndio kaongea KIswahili Oprah mhhhh! mnayakuzisha watanzania hamuoni hata haya kuuza magazeti tu!
rofl (':
wananchi hamna dogo!! Haaha!!
Post a Comment