ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 12, 2013

RAY C ANATAKA MWILI WAKE URUDI JE LINAWEZEKANA HILO?


NGULI wa wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray c’ ameonyesha dhahiri kuwa analichukia umbo lake la sasa baada ya kunenepa sana na kupoteza uzuri wake na anajitahidi kila njia kurudisha umbo lake la zamani lakini inashindikana.
Ray c amedhihirisha kupitia mtandao wa instagram huku akitupia picha zake za zamani alipokuwa mwembamba na kuandika…. I want my body back!!!!!!! I miss ths sexy body!!!!Heeeeelp....I need a good trainer........!Whr r U!!!!!!
Ray C wasasa ndiyo huyu....
• viol_lukelo Clean9 program itakurudisha kama zamani 1h
• nattumsaki Sory 4 askn wat z clean9 @viol_lukelo 59min
• kinyondi kwl mpnz wng fanya mazoezi 24min
• triceirungu type on Google insanity fitness my ukinunua dvd zao ukafuata guide na diet walioweka oohh dear hautabaki ivyo. nilikuwa but sasa nimekuwa nimepungua, kwa Africa siujui utapata wapi sis 8min
• superflexie Am a gud trainer @rayc1982 was such a fat ass and take a look at me now

1 comment:

Anonymous said...

Jamani hivi hii nayo ni "news"?